MAJALIWA AZINDUA TAWI LA NAMUNGO FC, MJINI RUANGWA.

MUUNGANO   MEDIA
0

 

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua tawi la timu ya mpira wa miguu ya Namungo FC liitwalo 'Tairi tatu' lililopo Ruangwa Mjini Mkoani Lindi, Februari 20, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wapenzi na mashabiki wa Timu ya Namungo FC alipozindua tawi la timu hiyo liitwalo 'Tairi tatu' lililopo Ruangwa Mjini Mkoani Lindi, Februari 20, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)