HABARI PICHA: MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI 6.2.2023

MUUNGANO   MEDIA
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 6, 2023. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi na Mbunge wa Uyui, Almasi Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)