DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA TAMASHA LA UTAMADUNI BULABO JIJINI MWANZA*

MUUNGANO   MEDIA
0

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Juni 27, 2024 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Chifu Mkuu wa Machifu wote nchini ( Chifu Hangaya) katika Kilele cha Tamasha la Utamaduni Bulabo, Kanda ya Ziwa Victoria linalofanyika kila mwaka jijini Mwanza.






Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)