DKT.MPANGO: TANZANIA INATAMBUA MICHEZO YA MAJESHI KWANI NI NGUVU YA KIDIPLOMASIA INAYOVUKA MIPAKA
Jumatano, Mei 15, 2024
0
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema
Tanzania inatambua michezo ya majeshi ni nguvu kubwa ya kidiplomasia
inayovuka mipaka na kuimarisha uhusiano baina ya mataifa Duniani.
Tags