WAZIRI UMMY AWATEMBELEA MAJERUHI WA MAPOROMOKO MATOPE HANANG
Ijumaa, Desemba 29, 2023
0
Waziri wa
Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Disemba 29, 2023 amewatembelea majeruhi
Watano kati ya 139 wanaondelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Manyara baada ya kutokea maporomoko ya matope na kuuwa watu 89.
Tags


