Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu akiwa na timu kutoka Wizara ya Afya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga wametembelea eneo lililoathirika na maporomoko ya matope yaliyopelekea vifo vya watu 89 na majeruhi 139 Wilaya ya Hanang Mkoni Manyara.



