WAZIRI MKUU AWAJULIA HARI MAJERUHI WA MAFURIKO HANANG

MUUNGANO   MEDIA
0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.


Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa manyara.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)