Mradi wa maji wa Same - Wanga - Korogwe unaendela kutekelezwa kwa kasi nansasa umefika asiimia 83.5
Mhadisi Abbas Musilim, kiongozi msimamizi wa mradi huo anasema kwa mwezi Oktoba 2023 mambo yaliyofanyiwa kazi ni pamoja na;
1. Ujenzi wa kituo cha umeme uliofika siimia 55
2. Kazi za kihandisi asilimia 66%
3. Ulazaji wa bomba kutoka eneo la Kiverenge hadi Vudoi Mwanga zimelazwa kilometa 15.8 bado kilometa 5.2
4. Ulazaji wa bomba kutoka Kisangara kwenda Kiverenge umefanyka kwa kilometa 6.1 bado kilometa 7.4
5. Ulazaji wa bomba kutoka Kiverenge kwenda Same jumla umefanyika wa kilometa 15.3 na bado kilometa 2.3
6. Ujenzi wa Kituo cha Umeme cha Kisangara, sehemu ya kuweka transforma na miundombinu ya umeme umekamilika, inasubiriwa transforma mwezi ujao wa Desemba 2023.