HAKI SPORTS CLUB YAITANDIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MCHEZO WA KUVUTA KAMBA.

MUUNGANO   MEDIA
0

Timu ya Wanaume Haki Sports Club  ya Kamba imepata ushindi wa pointi 3 mara baada ya kuivuta mara zote mbili timu ya Kamba ya Wizara ya Maliasili na Utalii.


Akizungumza mara baada ya mchezo huo  Kaptein wa timu ya Kamba ya Wanaume ya Haki Bw. Kilua Mtae amesema kuwa, ushindi huo umepatikana kutokana na kujipanga vizuri na mashindano hayo.

    

Mbali na  mchezo huo, pia timu ya Kamba ya Wanawake Haki Sports wameendelea kufunga ulingo kwa kutoka sare na kugawana pointi na  na timu ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)