Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák wakati wakiangalia ngoma za asili mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.
Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák akiongoza ujumbe wa Nchi yake wakati wa mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Julai, 2023.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza
ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Hungary
ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Katalin Novák, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe18 Julai, 2023.