ZIARA YA WAZIRI MKUU KIGOMA 26.2.2023

MUUNGANO   MEDIA
0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa zao la Chikichi kuhusu mafanikio ya mpango mkakati wa kufufua, kupanua na kuendeleza zao la chikichi nchini, kwenye ukumbi wa NSSF, Kigoma Februari 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi, Februari 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi, Februari 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde akizungumza na wadau wa zao la chikichi kwenye kikao kilichoongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye ukumbi wa NSSF, Kigoma Februari 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)