WAZIRI MKUU AKIWA KATIKA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIONGOZI ZANZIBAR

MUUNGANO   MEDIA
0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu Kusini Unguja Zanzibar Februari 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao, katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar Februari 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson, akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar Februari 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar Februari 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)