RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 36 AU

0

 






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.



Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)